Uchunguzi wa BBC umefichua mwanamume anayeendesha mtandao wa biashara ya ngono kutoka kwenye maeneo ya kifahari ya Dubai, akiwanyanyasa wanawake walio katika mazingira magumu.
Mwanamume huyo, anayeitwa Charles Mwesigwa, ambaye anadai kuwa alikuwa dereva wa basi jijini London, aliiambia...