Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kulikua na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu,
iyo siku nilicho kula hakitoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila...
Uchawi wa macho a.k.a Evil eye ni aina ya uchawi unaotupiwa muhusika ukuue au kukutaabisha kupitia jicho la mchawi.
Mara nyingi uchawi huu ufanyika katika maeneo yenye umati mkubwa wa watu mfano magengeni, mikahawani, minadani, n.k
Uchawi huu ni Kijicho kwa maana ya wivu wa kichawi na roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.