Ilikuwa ni alhamisi wiki iliyopita nikiwa Mbeya uyole niliona kitu cha kushangaza. Leo nawaletea hapa.
Siku hiyo nikiwa stend uyole mbeya nikisubiri gari za kwenda Dar maarufu "hakuna kulala" nikiwa sina hili wala lile ghafla mama wa makamo kwa muonekano ni msafiri pia akawa analalamika...