Wakuu naomba msaada.
Inakuwaje binadamu mzima akakubali ima kwa kutaka, kujituma, au kulazimika kuwa chawa?
Inakuwaje kiongozi mzima akakosa busara, falsafa na. hekima hata akaja na sera ya uchawa?
Je, wanaofanya yote haya wana akili timamu au kuna magonjwa yawe ya akili au tabia yanawasumbua...