Kisa;
Hapo zamani za siku hizi, kulikuwa na wanawake wawili mmoja mwerevu na mwigine mpumbavu, walikuwa wanataka kuvuka mto, wote walikuwa wamebeba watoto mgongoni, mpumbavu alibeba mtoto wake lkn mwerevu alibeba jiwe kama mtoto, mwerevu kamwambia mpumbavu ili tuvuke huu mto lazima tuwatupe...