Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa...
Salaam Members:
June mwaka huu TFF walitoa tangazo la kuwepo kwa uchaguzi kwa nafasi ya Urais na nafasi za Wajumbe 6 wa kamati ya utendaji.
Hapa utazipata updates za hatua zote za awali hadi uchaguzi mkuu utakaofanyika Tanga tarehe 16/08/2025.
Pia kama una updates zozote unaweza share nasi...
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.
Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata...
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga.
Nafasi zinazogombewa ni Rais (Nafasi 1) na nafasi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji (Nafasi 6)
Gharama za kuchukua fomu Nafasi ya Rais ni 500,000 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.