“Tulibebeshwa miili ya marehemu waliopigwa risasi… hali hii imetuathiri kisaikolojia, tusaidiwe.”
Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025 umeripotiwa kuambatana na matukio mengi ambayo kwa raia wengi yalikuwa mapya na ya kutisha. Simulizi kwenye mitandao ya kijamii na mitaani zimeacha huzuni...