uchaguzi malawi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Mgombea urais NLD, Doyo Hassan aahidi kurejesha reli ya Masasi-Dar es Salaam

    Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema ikiwa wananchi watampa ridhaa ya kuwa rais serikali yake itarejesha reli ya kutoka Masasi (Mtwara) - Dar es Salaam ambayo ilisitisha shughuli zake 1972 Akizungumza Oktoba 21, 2025 katika mkutano wa kampeni na wananchi wa Wilaya ya...
  2. N

    Dalili za ushindi kwa Mutharika zasema mengi kuhusu hali ya Demokrasia Malawi ikilinganishwa na Tanzania

    Wakati Tanzania ikiendelea na maigizo uchwara ya uchaguzi kiini macho unaopingwa kila kona ya nchi na Watanzania, nchini Malawi ambako demokrasia inaonekana kushamiri zaidi, Mgombea anaetetea kiti chake Hon. Lazarus Chakwera anaonekana kuangukia pua. Matokeo yasiyo rasmi yanayoendelea...
  3. R

    UCHAGUZI MKUU MALAWI: Rais wa zamani Peter Mutharika (85), ashinda kwa kishindo kwa kura asilimia 57%

    Wananchi wa Malawi wanatarajiwa kupiga kura Septemba 16, 2025 kuchagua rais mpya, wabunge na madiwani, ikiwa ni baada ya miaka mitano tangu uchaguzi uliopita ambapo vyama 17 vitashiriki huku wagombea wenye mchuano mkali wakitajwa kuwa ni: 1. Lazarus Chakwera – Mgombea wa The Malawi Congress...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…