uchaguzi 2030

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu kwa katiba ijayo,kabla ya uchaguzi 2030

    Kwa maoni yangu binafsi, Sisi wananchi tuchague,wabunge,madiwani na wenyeviti serekali ya mtaa! ---- Wabunge wao ndiyo wawe na nafasi/ mamlaka ya kupiga kura kwa kumchagua rais wa Jamhuri,hili limekaaje? ----- Vita vya kufa na kupona vitakuwepo kwenye nafasi ya ubunge! Ambayo ndiyo ngazi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2030 Tanzania hatarini kuongozwa na Rais fisadi. Kazi kwenu Watanganyika

    Guys Tusipoteze muda sana. Presidential candidates 2030 washajulikana mpaka muda huu. Sasa itakuwa ni watanganyika kunyoa au kusuka aidha mpokee vipande vya pesa nchi iuzwe au mchague mtu atakayelinda maslahi ya nchi.. Candidates Wenyewe ndiyo hawa hapa. 1. Tundu Antipas Lissu (Singida) 2...
  3. JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

    Mpo eeeh Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata Na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama kupiga kura tunahimizana hivi. Je, 2030 hali si itakua mbaya sana?

    Nini kimetufikisha hadi hatua ya kuhamasishana kupiga kura kwa nguvu kiasi hiki? Je, ni kwamba wananchi hawatambui wajibu wao, au wamepoteza imani na mchakato wa upigaji kura? Hili ni swali linalohitaji tafakari ya kina. Tunahitaji kurudi nyuma na kuangalia tulipojikwaa ili tuweze...
  5. JamiiForums Tanzania Ondoeni Shaka, Mtoto wa Jumanne Kaseja hatoweza kuchukua nchi hii kama Mama akiwa Rais

    Naona mpo na wasiwasi nyinyi wa bara. Mitandaoni kila siku mnamjadili huyo mtoto wa Jumanne Kaseja. Eeh, huyo? Huyo hata kuwa Rais hata likifufuka jua kutoka magharibi. Msiogope, jamani. Mwaijua Nungwi nyinyi? Hamuijui kabisa. Hamuiijui hata kiduchu. Lakini shauri yenu. Mtajionea kwa macho...
  6. JamiiForums Tanzania Nukuu ya kabla ya uchaguzi mkuu

    "Usimchague kiongozi anayeanza kuonyesha upendo kwa wananchi uchaguzi unapokaribia, wala yule anayewasaliti wenzake kwa kuwazulia mabaya, maana uaminifu na ukweli havijengwi kwa hila wala muda wa kampeni." Alloyce, P.R.
  7. JamiiForums Tanzania Nakumbusha tu kwamba DR. Emmanuel Nchimbi ndiyo agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040

    Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo. Nilishaeleza haya miaka iliyopita, naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiiga movements za "Rock The Vote" organization, watashinda uchaguzi 2030 kwa kura mpya za Gen Z

    Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya chini, Ukiangalia Demographic ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania ni vijana wa miaka 15-35..bahati...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Namuunga mkono Mbowe kushiriki chaguzi zijazo hata kama Serikali haitokuwa tayari suala la Katiba Mpya

    MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema anamuunga mkono Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa kutangaza kushiriki katika chaguzi zijazo hata kama Serikali haitakuwa tayari kuwapatia Watanzania Katiba mpya. Akizungumza na MwanaHALISI Online...
  10. JamiiForums Tanzania 2030 kuna uwezekano mkubwa Kafulila na Bashungwa wakapewa kijiti cha kuongoza nchi mama hatabiriki huko mbeleni

    Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali". Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…