Tuliona Kipindi Lema akiwa Mbunge alivyopata misukosuko hapo Arusha, wengine tulidhani ni kwa sababu ni Mbunge Kutoka Chama Cha Upinzani!
Akaja Gambo na Mongella baadae Makonda, Hawa wote ni Kutoka Chama tawala lakini tuliona Mh Gambo alivyopata misukosuko katika Kipindi chake!!
Uhakika ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.