uchaguz mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia Suluhu ni Rais Haramu, Serikali ya Hofu, na Teuzi za Kujinusuru

    Hakuna namna ya kuficha ukweli huu kwa mapambo ya maneno: udhaifu wa Rais wa sasa unatokana moja kwa moja na ukweli kwamba hana uhalali wa kisiasa wala wa kimaadili. Huyu si Rais wa ridhaa ya wananchi, bali ni Rais wa nguvu, vitisho, na damu ya raia. Msingi wa madaraka yake haukujengwa kwa kura...
  2. Uongozi Uliochoka na Taifa Lililogawanyika: Uchambuzi wa Kiuchumi, Kisiasa, na Kijamii wa Hali ya Tanzania

    Katika historia ya mataifa, kuna vipindi ambavyo misingi ya utawala imara huonekana kufifia, taasisi zikaishiwa nguvu, na kauli za viongozi zikaanza kutengeneza mipasuko ndani ya jamii badala ya kuijenga. Tanzania, katika miaka ya karibuni, imeingia katika kipindi cha aina hiyo kipindi ambacho...
  3. PostGE2025 Tanzia: Uzi Maalum wa Rekodi ya Wote Waliofariki kwenye Maandamno wakati wa Uchaguzi

    Wakuu, Baada ya maandamano vifo vingi vimetokea vikisisabishwa na risasi za polisi. Wachache wamefanikiwa kupata miili ya wapendwa wengi huku wengi wazikinga ndugu zao kwa kutumia nguo, viatu na vitu vingine vya wapendwa wao kutokana na kunyimwa miili hiyo. Tutumie uzi huu kama rekodi ya wale...
  4. G

    Sirikali Chumbani Mwangu

    Siri Kali Chumbani Mwangu Serikali iko ndani mwangu, Inapanga jinsi ya kulea wana wangu, Vijiko vya sukari jikoni kwangu, Hata aina ya fikra za mke wangu. Sera kali zote dhidi yangu, Hakuna tena faragha ya kuwa mtu wangu. Uhuru sasa si wangu, Bali kauli mbiu moja, Hakuna kosa dhidi ya...
  5. GE2025 Wananchi Siha wakataa maandamano ya Oktoba 29

    Wananchi wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro wamepinga wito wa kufanya maandamano tarehe 29 Oktoba, wakisisitiza kuwa wanataka kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu. Wakizungumza wakati wa kampeni za Mgombea Ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt...
  6. R

    GE2025 Jenista Mhagama: Vijana jitokezeni kushiriki uchaguzi mkuu

    Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Peramiho (Ruvuma) kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Jenista Mhagama Oktoba 25, 2025 wakati aliposhiriki kwenye Bonanza la Afya, wilaya ya Songea vIjijini llilofanyika katika uwanja wa Tamasha, Peramiho, alitoa wito kwa vijana ifikapo Oktoba 29, 2025...
  7. GE2025 UDSM yailaani UDASA kwa kukosa “Maadili ya Umma” baada ya kulaani uvunjifu wa haki nchini

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu...
  8. GE2025 INEC: Watu wenye Ulemavu hawatapanga foleni siku ya Uchaguzi, Oktoba 29, 2025

    MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika Mkoa wa Iringa, Bi. Nuru Sovella, amesema kuwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeweka mazingira rafiki na wezeshi kwa watu wenye ulemavu ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura Oktoba 29, 2025. Akizungumza na...
  9. W

    GE2025 Wenje: Unaandamanaje na haujui sababu wala Mratibu wa maandamano?

    KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema hakuna Mtanzania atakayekubali kuandamana Oktoba 29 kwasababu hakuna msingi wa maandamano yanayotajwa. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema Watanzania ni...
  10. GE2025 Hawa viongozi wa dini watakuja kutueleza hayo maandiko wanayatoa wapi ya kusema tusiandamane na tuheshimu mamlaka inayoteka na kuua watu

    Jioni Ya Leo Viongozi Wa Dini Wakiongozwa Na #SheikhMwaipopo - Wamezungumza Na Waandishi Wa Habari Kuhusu Amani Ya Nchi Yetu, Huku Wakikemea Vikali Maandamo Ambayo Yamepangwa Kufanywa Na Baadhi Ya Watu Wachache Kwa Maslahi Yao Binafsi. Wakati Wakizungumza Na Waandishi Wa Habari Wamewahasa...
  11. GE2025 Wazee Dodoma waombwa kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka wazee wa mkoa huo kuhamasisha jamii kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025, na kuhakikisha vijana wanalinda amani ya nchi. Amesema wazee wanayo nafasi kubwa katika kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo, akibainisha kuwa Dodoma ya sasa...
  12. R

    GE2025 Mgombea Udiwani CHAUMMA Kata ya Liganga atimkia CCM

    Mgombea Udiwani Kata ya Liganga, Fulco Komba aliyekuwa akigombea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuvutiwa na sera zake za maendeleo. Tukio hilo lilijiri jana Septemba 30, 2025 katika mkutano wa kampeni wa Mbunge wa Jimbo la Peramiho...
  13. R

    GE2025 Mapokezi ya Mgombea Urais CCM, Samia, Moshi Mjini

    Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan Moshi Mjini zimepamba moto na matembezi kuelekea Uwanja wa Mashujaa yamefana
  14. W

    GE2025 Bwege: Hakuna mpinzani wa kweli anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu, walimuhonga wakashindwa, walitaka kumuua wakashindwa

    Wakuu Mzee Bwege katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni amekiri kuwa hakuna mpinzani wa kweli kwa sasa nchini anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu na ndiyo maana walijaribu kumuhona wakashindwa, wakataka kumuua wakashindwa kwa sasa wamemuweka ndani napo watishindwa. Soma pia >> GE2025 -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…