uchafuzi wa hewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gibeath-Elohimu

    Uchafuzi wa hewa Mwenge

    Habari wanajamvi watu makini Kabisa.Natumai sote tuko poa. Naomba kuwasilisha kero hii Kwa NEMC sijui ni mimi pekeyangu ndo napua kali ama vipi. Kwa siku kadhaa na tuseme Kwa miezi hata mwaka hapa maeneo ya Mwenge kuanzia ITV,stendi mpya,njia yote mpaka huu upande wa petrol station ya ORYX...
  2. Kyambamasimbi

    DOKEZO Ziwa Rukwa hatarini kutoka uchafu na utupaji taka holela katika miji inayozunguka ziwa letu hili muhimu

    Kwa uzalendo wa hali ya juu na kuthamini vya kwetu, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu wakichafua mazingira kwa kutupa taka hovyo, hasa kandokando ya mito inayoingiza maji katika Ziwa Rukwa. Katika maeneo kama Makongolosi kwenye Mto Makongoso, Kipoka na mingine, imekuwa kawaida...
  3. Miss Zomboko

    Uchafuzi wa hewa wasababisha vifo zaidi ya milioni 8 duniani kote mwaka 2021

    Ripoti mpya ya kina inayoonesha athari hasi ya hewa chafuzi kwenye afya imetolewa leo nchini Marekani huku ikiweka bayana kuwa uchafuzi wa hewa umeibuka na kushika nafasi ya pili duniani kama kihatarishi kinachoweza kusababisha kifo. Ikipatiwa jina Hali ya Hewa Duniani au SoGA ripoti imetolewa...
Back
Top Bottom