ubunge kinondoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Moza Ally kuwania Ubunge Kinondoni kupitia CHAUMMA

    Mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza leo Julai 28, 2025, Moza amesema ana uhakika wa kushinda nafasi hiyo iwapo Chama chake kitampatia ridhaa ya kugombea. "CHAUMMA kikinipa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mtia nia ya ubunge Kinondoni: Atowa wito Chama kwanza, mtu baadaye

    Mtia nia ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kinondoni, Joseph Boniface Mhonda, ametoa wito kwa wanachama na wagombea wenzake wa CCM kuwa watulivu na kuheshimu taratibu za chama, wakati huu wa mchakato wa ndani wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza...
  3. Just Pray

    PreGE2025 Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha achukua fomu kuwania ubunge Kinondoni

    Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha akionyesha fomu ya kuwania ubunge wa Kinondoni baada ya kuichukua leo Jumapili Juni 29,2025. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni, Amosi Richard kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Tetesi: Kinondoni patachimbika! Wanaotaka Ubunge kibao, yumo Iddi Azzan, Tarimba na mjukuu wa Bakhresa

    Wakuu Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa...
Back
Top Bottom