Kuna hali ya kutozijali barabara za Wilaya ya Temeke kwa kiasi kikubwa, wahusika ni kama hawajihusishi kabisa.
1. Barabara ya Temeke ina mashimo makubwa ambayo yanachangia kuharibu magari, kusababisha foleni, na kufika sehemu muhimu kwa wakati. Mashimo haya yapo tangu mvua za vuli za mwaka jana...