Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia
Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu
Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa
Huu ni...
Hapo vip!!
Nimefanya uchunguzi wangu wa muda mrefu dhidi ya timu ya Simba na Yanga,kwa namna wanavyopata ubingwa ila nikagundua haya.
Kwa soka la Tanzania,club ikiwa na uongozi imara alafu timu ikawa ya kawaida inauwezo mkubwa wa kuchukua ubingwa mara nyingi sana.
Lakini pia ukiwa na timu...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
TFF kuna nini kinaendeleaa, Nassoro Hamduni weka sawa yanayoendelea. Ushauri wangu tu achaneni kutesa watu uwanjani kama mmepanga bingwa, wapeni ubingwa Simba.
Sio lazima wamalize hii ligi yenu ya kihuni.