ubalozi wa ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

    Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
  2. Kwanini tukio liwe karibu na Ubalozi wa Ufaransa?

    Inasemekana jamaa alishuswa na bodaboda na akaenda kwenye kibanda cha askari pale kwenye makutano kama vile ana shida. Akachomoa bastola na kuwauwa askari wawili, askari mmoja akapigwa risasi kwenye bega. Akachukua silaha za wale askari akawa anatesa nazo. Lakini kwanini iwe maeneo yale...
  3. Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

    Katika hali isiyotarajiwa mtu mmoja amezua taharuki katika eneo la Daraja la Selandar jirani na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 25, 2021. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea Saba kasoro mchana huu, mtu huyo ambaye hakujulikana alikotokea, alianza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…