ubalozi wa norway

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubalozi wa Norway waomboleza na Watanzania kwa kuwapoteza wapendwa wao

    Ubalozi wa Norway unatoa pole za dhati kwa wote walioathirika na matukio ya hivi karibuni nchini Tanzania. Tunaungana na familia na jamii zilizopoteza wapendwa wao na pia na wale wote wanaokabiliana na changamoto za kipindi hiki kigumu. Fikra zetu ziko pamoja nanyi, na tunaheshimu kumbukumbu za...
  2. N

    Balozi wa Norway nchini Tanzania: Demokrasia imara inategemea uhuru wa kujieleza na sauti huru

    Wakili Massawe: Huwezi kuwa na uhuru kamili kama vyombo vya habari havipati uhuru huo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe amesema kuwa ilitarajiwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu vyombo vya habari vitakuwa huru zaidi...
  3. W

    Anayefahamu sehemu ulipo Ubalozi wa Norway anisaidie

    Hello wakuu, natakiwa kusafiri kwenda Norway katikati mwezi wa pili 2025. Naomba msaada kwa wazoefu namna naweza pata VISA mapema. Asante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…