uandikishaji daftari wapiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    PreGE2025 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza awamu ya pili ya kuandikisha wapigakura kuanza Mei Mosi mwaka huu

    Wakuu, Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 na kukamilika tarehe 04 Julai, 2025. Akizungumza jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya...
  2. mwanamwana

    PreGE2025 UVCCM Dar es Salaam wahamasisha mtaani wananchi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupiga kurakujiandikisha

    KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA NDUGU MWENYEKITI NASRA M.RAMADHANI Umoja wa vijana wa CCM Wameandelea na zoezi wilaya ya KINONDONI kuhamasisha wananchi Mama lishe Boda boda kwenye masoko vikundi vya vijana kwenda...
  3. Mindyou

    PreGE2025 Waandikishaji wa Tume Huru ya Uchaguzi waapishwa ili "kutunza siri" za ukumbi wa Halmashauri. Ni siri gani wanazopaswa kutunza?

    Wakuu, Naona zoezi la uandikishaji linazidi kuwa la moto, naona waandikishaji sasa hivi washaanza kula viapo huko Kwenye taarifa ya tume hawa waandikishaji wameapa "kutunza" siri za Ukumbi wa Halmashauri. Sasa najiuliza hizi siri wanazotakiwa kutunza ni zipi ambazo wananchi hawatakiwi kujuq...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura kwa awamu ya pili waendelea Zanzibar. Changamoto "ndogondogo" zajitokeza!

    Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura ikianza mikoa ya Unguja, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewataka wananchi wenye sifa kujiandikisha ili wapate uhalali wa kuwachagua viongozi wanaowataka. Akizungumza baada ya kutembelea vituo vya uandikishaji Wilaya ya...
  5. Mindyou

    PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuanza kuandikisha wananchi wa Morogoro kuanzia Machi 1. Wapigakura 302,752 watarajiwa kuandikishwa!

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mzunguko wa 12 wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ambao utafanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Machi, 2025. Akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi mkoani Morogoro...
  6. K

    LGE2024 Nimefuatwa Nyumbani na kulazimishwa kuandikishwa

    CCM na serikali yake hawapaswi kutulazimisha kujiandikisha katika uchaguzi huu mdogo badala yake mnapaswa kujiuliza kwanini watanzania hawataki kupiga kura Ni wazi kwamba wananchi walio wengi wamegundua kuwa hizi kura ni kiinimacho tu lkn ushindi kwenu lazima Mtu mwenye akili...
  7. Mindyou

    LGE2024 Ina maana Walimu wanawatoa wanafunzi darasani ili waende wakajiandikishe kwenye daftari? Hii video ya Tabora imenifikirisha sana!

    Wakuu, Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe! Hii ni mkoani Tabora!
  8. Mindyou

    LGE2024 Zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefikia asilimia 45. Tanga yaongoza!

    Waziri wa TAMISEMI , Mohamed Mchengerwa, ametangaza kuwa uandikishaji wapiga kura wa serikali za mitaa umefikia asilimia 45 ya idadi ya watu wanaostahiki kushiriki tangu zoezi hilo lilipoanza tarehe 11 Oktoba 2024. “Kufikia jioni ya tarehe 14 Oktoba 2024, siku nne tangu kuanza kwa zoezi hili...
  9. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
Back
Top Bottom