Wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Waziri wa habari Prof Kabudi amewahimiza waandishi wa habari kuacha kupokea rushwa na bahasha za kahawia kwani wananchi wanahitaji habari zenye uzito wa hoja na si uzito wa posho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.