Leo wamekubali bila chenga kuwa wamefungia X sababu ya maudhui ya ngono! Kampeni ya CCM kutaka kufungia mitandao kabla ya uchaguzi inaenda kutimia.
Ila😂😂🤣 kwahiyo na Insta inafuata, Youtube, TikTok, Whatsapp, Facebook, zike channel zoteee kwenye TV nazo zitalimwa, hakuna kusikiliza miziki wala...
Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida akiongea hivi karibuni kwenye mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ameendelea kushikilia msimamo wake wa kufungia mtandao wa X ambao aliutoa miezi kadhaa iliyopita
"Nilishawahi kusema Mtandao wa X ufungwe ila watu walinibeza bila kujua nini nilichokuwa namaanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.