Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market...