Hello guys!
Kama vijana naamini kila mtu ana ndoto na mikakati yake. Lakini wakati mwingine kwa nchi zetu hzi yaweza kuwa unajikuta imekuwa ngumu kuzifikia. Mbaya zaidi kila unapozifukuza huoni dalili ya kuzifikia.
Unajituma vyema tu kwa bidii na akili lakini bado hali inakuwa tete...