tutu

Corbița is a commune located in Vrancea County, Romania. It is composed of nine villages: Buda, Corbița, Izvoarele, Lărgășeni, Ocheșești, Rădăcinești, Șerbănești (the commune center), Tuțu and Vâlcelele.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Our Desmond Tutu

    Huyu ndiye Desmond Tutu wa leo anayepinga apartheid Tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika ya Kusini hakukaa kimya kuwatetea watu weusi (Dini vs Siasa)

    Kumekuwa na discussion kuhusu kuchanganya dini na siasa. Kusema kweli jambo hili limafikirisha sana. Askofu Desmond Tutu wa Afrika ya kusini alisimama na waafrika kupinga sera za ubaguzi wa rangi huko Afrika ya kusini. Ukombozi wa mtu mweusi umekuwa ukipiganiwa na maaskofu miaka mingi. Hapa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

    Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki? Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu wa haki ndiyo unaozidi kuota mizizi? Nini kimetupata watanzania sisi leo kutokuwa na kizazi cha...
  4. JamiiForums Tanzania Tutumie muda wetu mwingi kuikosoa Bajeti, kushauri ili kuiboresha na siyo kuisifia kinafiki na kwa kujipendekeza

    Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi ni kama Desmond Tutu wa Afrika ya Kusini

    Jfteam Taifa tuna hazina kubwa ya watu wanaofaa kuwa washauri wa viongozi wakuu. Katika taifa letu namlinganisha Askofu Niwemugizi wa Ngara - Tanzania na hayati Archbishop Desmond Tutu wa Africa ya Kusini. Ni watu wasiojua kula maneno, kujikomba wala kujipendekeza. Mara zote huongea hisia za...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika ilipata bahati ya kuzawadiwa Askofu mmoja -- Desmond Tutu

    Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City", kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu, alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza kusema “he was in a very good mood”. Tutu alikuwa amebakiza pungufu ya miezi minne atimize umri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Aquamation: Utaratibu uliotumiwa 'kuuyeyusha' mwili wa Hayati Desmond Tutu

    Mpiganaji maarufu wa kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Desmond Tutu aliagwa Jumamosi katika mazishi ya kiserikali katika Kanisa Kuu la St George's mjini Cape Town. Mshindi huyo wa Tuzo ya Amani ya Nobel, kulingana na Wakfu wa Askofu Mkuu Tutu IP Trust na Wakfu wa Urithi wa Desmond...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…