tunapoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tunapoteza mwelekeo: Kwa nini kelele nyingi kwenye michango ya Tonetone, lakini kimya kwenye fedha za umma?

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua hii hali kunyamaziana kujifanya tunalinda 'brand' tunapoteza watu sahihi sema tu hatujui?

    Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anayemtafuta mwenzie tunaishi kuangalia status😂😂🙌 dah kweli hapa za kichwa tu vp wewe ndugu yangu hali yako uko…
  3. JamiiForums Tanzania Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

    Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda Kama mmekosa kazi za kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Young Africans tunapoteza mechi leo

    Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Yanga, ila Leo moyo wangu unakataa, tunapigwa 2 kwa 1 na Simbo, na anguko letu la miaka 4 litafuata! Poleni sana wananchi wenzangu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…