Tume ya Utangazaji Zanzibar, katika utekelezaji wa kazi zake imebaini kuna vituo vya Utangazaji vya Maudhui ya Mtandaoni vinavyofanya kazi ya Utangazaji bila ya kuwa na leseni.
Kwa Mujibu wa kifungu cha 11 cha Sheria ya Tume ya Utangazaji Zanzibar, Sheria namba 7 ya mwaka 1997 "ni marufuku kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.