Akizungumza na waandishi wa habari, ndugu Kigaila ameitaka NEC kurudisha wagombea wote wa Chadema walienguliwa kihuni.
Amesema kuna watu walitekwa na vyombo vya dola kama TAKUKURU ili wasirudishe fomu.
Kuna wengine walienguliwa kwa wakurugenzi kuharibu fomu zao kwa kuongezea maandishi...