tumboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nguruwe wangu anatatizo la kukojoa mfululizo mara tu baada ya kunywa maji hayakai tumboni anayakojoa yote papo hapo

    Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo, Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu. Natanguliza shukrani!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mtoto kufariki tumboni kwa mama

    Habari zenu wana JF, Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu maana humu kuna wataalamu mbalimbali. Mama watoto wangu ni mjamzito wa takribani miezi 8 na point na amekuwa akihudhuria kilinic vizuri kabisa. Alitakiwa kujifungua 09.02.2019 kwa mujibu wa maelezo ya kliniki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…