Kuna tatizo la tumbo kuuma limenianza kama siku tano hivi
Chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kitu ambacho sio kawaida yangu
Hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili litulie
Shida ni nini wajuzi/wenye uzoefu
mana linanikosesha raha
Habari wana JamiiForums.
Nimekuja mbele yenu kuzungumza na wale wenye tatizo la tumbo kuunguruma, Mimi ni moja wenu na tatizo hili limenisumbua kwa muda sasa lakini hivi karibuni nimepata nafuu kwa kiasi kikubwa.
Mwanzo kabisa sikumbuki tatizo la tumbo kuunguruma lilinianzaje, sijui chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.