try again

"If At First You Don't Succeed, Try, Try Again" is a fantasy short story by Zen Cho. It was first published on the official Barnes & Noble blog, in 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. William Mshumbusi

    Barua ya Wazi kwa uongozi wa Simba. "Fadlu David kocha aliyefeli mara 8 mfululizo akiwa kocha mkuu andaeni fungu la kutosha kwa waamuzi."

    Fadlu David Ndio tatizo kuu simba Tathmini ya Uwezo wa Kocha Fadlu Davids katika Nafasi ya Kocha Mkuu wa Simba SC Kwa uongozi wa Simba SC, Kwa heshima na upendo mkubwa kwa klabu yetu pendwa, tunapenda kutoa maoni yetu ya wazi kuhusu mwenendo wa timu chini ya Kocha Fadlu Davids. Tunatambua...
  2. GENTAMYCINE

    Nashukuru kwa Mo Dewji kumuondoa Msaliti Mkuu na Mtu aliyetuumiza sana Simba SC kwa Yanga SC Salim Abdallah 'Try Again' katika Bodi

    Sasa anaweza kwenda huko huko Yanga SC alikokuwa akilipwa kwa Kuisaliti Simba SC kwa Kutoa kila aina ya Siri tuumie.
  3. Waufukweni

    Try Again atuliza taharuki kuhusu Mpanzu, adai Mpanzu ni mali halali ya Simba na alisaini Miaka Miwili ofisini kwake

    Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo. "Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni...
  4. Waufukweni

    GSM na Try Again uso kwa uso kwenye Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr

    Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohamed leo amekutana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah Muhene Try Again katika Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr. GSM na Try wamekutana katika Msikiti wa Oysterbay na kusalimiana kwa kukumbatiana licha ya kuwa kuna mvutano...
  5. O

    Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  6. C

    Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

    Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba. Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club. Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu...
  7. Richard3

    Simba bado sana, haiwezi simama bila Try again

  8. Frank Wanjiru

    Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

    Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti Tuheshimu katiba. © MANGUNGU 🙌
  9. BARD AI

    Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba

    Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake. Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu. Amewaomba wanachama wa Simba kuwa wamoja na kuondoa migogoro. Aidha, amesema baada ya mashauriano...
Back
Top Bottom