Tovuti ya BRELA ORS ina tatizo la kutotuma barua pepe za uthibitisho (verification emails) kwa watumiaji wanaojaribu kufungua akaunti mpya. Kutokana na tatizo hili, wananchi wengi wanashindwa kuamilisha akaunti zao na kupata huduma muhimu za usajili wa biashara.
Hali hii inasababisha usumbufu...