Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.
Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema...
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha...
Hii ndio Taarifa mpya kutokea Bukoba Mjini, unaambiwa watu wameuza Mikungu ya Ndizi ili kuchangia Tonetone ya Chadema.
Habari zinaeleza kwamba imebidi waitwe Wahasibu wa dharula kuhesabu fedha za michango hiyo, kiukweli hii ni rekodi
Pichani ni hela za kikapu cha kwanza tu, huku taarifa...
Wakati Tonetone ya kidijitali ikizidi kuchanja Mbuga ,,, ni vema Matangazo ya Chama kuwaalika Watanzania mikutanoni yaendelee kuwakumbusha kubeba "Chochote Kwa ajili ya Chama".
Pesa za Kwa papo Kwa papo, zitasaidia Shughuli ndogo ndogo za Usafiri, Malazi, Chakula ,n.k !!
LISSU NI MSIKIVU...
Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Fedha ya chama hicho Godbless Lema ameeleza kuwa mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali ambayo utamuwezesha mtu yeyuote kuchangia kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.