Habar wana Jf
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, sisi wahitimu ya fani ya uuguzi tulifanya mtihani wa leseni 19 Disemba, 2025 na tulipia huo mtihani laki na nusu!
Sasa hawa jamaa muda unazidi kwenda hawatoi matokeo wako busy kukusanya hela za marathon ambazo sisi hazitusaidii, sisi tunataka...