Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts.
Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole...
Wakuu,
TLS, LHRC msituambie hamkutegemea haya kutokea ili mkajipanga na plan B, C, D hata Z ikiwezekana? Yaani mlitegemea serikali itakaa tu kimya ili mambo yaende vizuri na taarifa zipatikane bila shida?
Mkaona account za mitandao ya kijamii za CHADEMA zimedukuliwa mkatulia kusubiri na leo...
Nawasihi sana ndugu zangu tusiwe wepesi wakunyooshea watu vidole!
Mwabukusi kafanya kazi kubwa sana inayostahili kupongezwa!
Huwezi kumpima mwabukusi kwa jambo moja!
Angekuwa mtu wa dili wangemalizana nae kipindi cha bandari!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
Ifahamike kwamba mambo...
https://youtu.be/m9WGFYVzCvU
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi.
Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...