Mambo vp waungwana wa jamiiforums.
Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"?
Lengo kuu la kukutana katika platform hii mara kwa mara ni kuelimishana na kusahihishana katika masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya...