tk movement

Mitochondrially encoded tRNA lysine also known as MT-TK is a transfer RNA which in humans is encoded by the mitochondrial MT-TK gene.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 TK Movement Kilimanjaro waahidi kumtafutia Rais Samia kura za ndio

    Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio. Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki...
  2. PreGE2025 TK Movement Kagera Yapinga Vikali Upotoshaji Kuhusu Ushiriki wa Wananchi Katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Taasisi ya Taifa Letu, Kesho Yetu (TK) Movement Mkoa Kagera imesema haitakubaliana wala haitamsikiliza mtu yeyote mwenye kuja na kauli za kuwapotosha wananchi kuwa wasishiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2025 Hayo yamejiri katika Kikao cha Wilaya Bukoba DC kilichowakutanisha...
  3. W

    PreGE2025 Mtandao wa vijana na wanawake (TK Movement) wakutana Dodoma

    Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk. === Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili...
  4. W

    PreGE2025 Ally Hapi: Tusikubali nchi iharibiwe na watu wachache

    Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
  5. Q

    BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki nao.

    TAARIFA KWA UMMA Baraza Kuu la Wanawake Chadema linawatangazia wanachama wake mambo yafuatayo; Tumefuatilia kitu kinachoitwa TK Movement na Kujiridhisha kwamba wapo baadhi ya wanachama wetu, wameamua kujiunga na Movement hiyo. Tumejiridhisha kuwa TK ni Sehemu ya CCM hivyo msishirikiane nao na...
  6. TK Movement mko wapi kumtetea Bashe?

    KUNDI la Viana la TK Movement linalofadhiliwa na kulipwa mshahara na Mheshimiwa Huseni Bashe kwa ajili ya kujipanga na mambo ya 2025 (kumzunguka Samia) mbona mko kimya kumsaidia kujibu tuhuma zinazomkabili za kashfa ya kutoa vibali vya sukari kwa kampuni za steshenari na kuuza simu za itel...
  7. T

    TK Movement kosa lao nini?

    TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi. Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa wakipotosha malengo ya vuguvugu hilo huku baadhi yao wakidai Tk movement inaingilia shabaha za Umoja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…