Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo(Mb.), kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Kifungu cha 8(2)(b) cha Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi ya mwaka 2025 ameteua wajumbe saba (7) wa Bodi ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi...
TISEZA KUTOA ARDHI BURE KWA WAWEKEZAJI, Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike.
Eneo la NALA DODOMA lipo kilometa 10 kutoka reli mpya ya SGR ilipojengwa.
Je TISEZA inasomana na reli mpya ya SGR ili wawekezaji waweze lutumia reli hiyo ya matrilioni ya shilingi
Ni muhimu maeneo ya pembezoni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Gilead John Teri kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority -TISEZA).
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.