Video imeripotiwa kuwa ni tukio lililotokea nchini Indonesia baada ya mafuriko makubwa ambapo tembo anaonekana akimuokoa Chui kutoka kwenye mafuriko hayo kitendo kilichovutia watu wengi.
Je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
Tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi ilipopigwa picha hii amba mdau aliuliza "hii ni sehemu gani bongo?" Je, umetumia nyenzo gani kujua eneo halisi?
Je, unaweza kutumia nyenzo mbalimbali za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha?
Mdau, huku ukieleza nyenzo uliyoitumia, bainisha eneo halisi ambapo picha hii ilipigwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.