Wengi wa wapenda vipindi vya Tv na Redio hususani Burudani jina hili sio geni, Baada ya Kutoka Times fm alisajiliwa Wasafi Media na baadae kutimkia E FM/E-TV.
Jamaa hajafanya sana program za redioni kama upande wa TV. Yes, wengi walimfahamu kwenye "Now you Know" kupitia YouTube account yake...