temu

Temu is an online marketplace operated by the Chinese e-commerce company PDD Holdings, which is owned by Colin Huang. It offers heavily discounted consumer goods mostly shipped to consumers directly from the People's Republic of China.
Temu's business model has allowed it to become popular among consumers but has also drawn concerns over data privacy, forced labor, intellectual property, and the quality of its marketplace products. The company has been embroiled in legal disputes with Shein, a direct competitor.

View More On Wikipedia.org
  1. Buti la Chief Godlove analoringia na kutudanganya Temu ni shilling elfu 35 tu

    Hili buti ambalo Chief godlove leo ameposti akituringia na kutudanganya kwa jazba na nyodo baada ya kuchekwa kafulia mitandaoni eti ni dollar za kimarekani 3500 kumbe ni euro 12 tu ambayo ni elfu 35. Wanoko na wambea wamezama Temu online shopping ya China na kuthibitisha. Wasiomjua chief...
  2. Abate Christian Temu OSB: Wakati nakuja, nimeona umati mkubwa wa watu waliovaa vizuri, sijaona aliyevaa dera wala kijora

    "Nimeona umati mkubwa wa watu waliovaa vizuri, watu ambao wana malengo, watu ambao wanajielewa". "Nikaangalia angalia kama kuna aliyevaa dera au kijora lakini sijaona". Abate Christian Temu OSB | Abate wa Abasia ya Ndanda.
  3. GE2025 Je Dorothy Temu anawania Ukuu wa Mkoa kama wagombea Urais wanawake waliomtangulia?

    Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 na kushindwa. Baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Mwaka 2020 Queen Sendiga aligombea Urais kupitia ADC na kushindwa. Naye baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Je lengo la...
  4. Zitto ni mjanja sana, Ofisi za ACT Wazalendo mikoani zina picha yake ukutani na sio picha ya Kiongozi wa sasa Dorothi Temu

    Staili za Vladimiri Putini wa Urusi.
  5. Temu wananikumbushia Kikuu. Ukiagiza kitu na unachopata utacheka mwenyewe!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…