Hii ilikuwa ni tarehe 07, semptemba 2017 bungeni kabla ya jaribio la kumuua kwa risasi ingawa jaribio hilo liligonga mwamba.
Hotuba hii ndiyo iliyochochea sana kutokea kwa jaribio la kumuua kwa maneno yake ya moja kwa moja akionyesha namna viongozi wasivyowawajibikaji na kuwakandamiza wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.