taxi mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nahitaji gari kwa ajili ya biashara ya taxi mtandao (7-8 Milion budget)

    Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia biashara ya Taxi mtandao(Uber,bolt etc.) Bajeti yangu ni 7Milion to 8Milion Gari ipi inafaa?
  2. Nehemia Elias

    Dereva wa Taxi Mtandao natafuta kazi. Nina uzoefu wa miaka minne

    Habari za kazi, Natafuta gari ya kufanyia tax mtandao(Uber & Bolt), nina uzoefu wa kuendesha tax mtandao zaidi ya miaka minne, naishi kongowe mzinga kilwa road, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Mawasiliano 0769235120
Back
Top Bottom