tarime mjini

Tarime District is one of the seven districts of the Mara Region of Tanzania, East Africa. It was previously known as the "North Mara District". Its district capital is Tarime town. It is bordered from the north to east by the Kenyan districts of Migori, Trans Mara and Kuria East and West Districts, and to the east by the Maasai Mara game reserve. To the south, it is bordered across the Mara River by the Serengeti and Butiama districts, and to the west by Rorya District.
North Mara Gold Mine is located within the Tarime District. It is operated by Acacia Mining.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Tarime District was 492,798. According to the 2022 Tanzania National Census, the population of Tarime District was 404,848.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

    Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo. Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa. Lakini rufaa ya...
  2. T

    GE2025 TARIME MJINI: CCM Makao makuu wanapambana kufanya maridhiano mgombea ubunge ACT - Wazalendo ajitoe kumuokoa Esther Matiko asiyekubalika

    Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana. Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa Esther Matiko ambayo sio chaguo la wana CCM Tarime mjini. Baadae kikaitwa kikao cha maridhiano kati ya...
  3. A

    GE2025 Esther Matiko aamsha matumaini Tarime Mjini

    Na Brighton Masalu MGOMBEA ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko ameonesha dira thabiti ya maendeleo na kufufua matumaini kwa wananchi wa jimbo hilo. Akizungumza na halaiki ya wananchi waliohudhuria kwa wingi mkutano wa kampeni za mgombea...
  4. T

    GE2025 Esther Matiko awekewa pingamizi zito na Jackson Kangoye Tarime mjini

    Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia ACT-Wazalendo amemuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Esther Nicholas Matiko pingamizi zito sana. Pingamizi hili kungekuwa na utawala wa sheria Hakika Esther Matiko angeondolewa kuwa mgombea na angeshitakiwa kwa ubadhirifu wa mali za Umma. Soma Pia...
  5. T

    GE2025 Esther Matiko amuwekea pingamizi mgombe wa ACT-Wazalendo Tarime Mjini

    Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye. Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba...
  6. JanguKamaJangu

    GE2025 Michael Kimbaki aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini asema haungi mkono Ubunge kuwa na ukomo wa Miaka 10

    Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo. Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
  7. K

    GE2025 CCM ipende isipende, jimbo la Tarime Mjini linaenda upinzani

    Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini...
  8. Just Pray

    GE2025 Esther Matiko atinga mbele za wajumbe kuwashawishi wampitishe kuwa mgombea wa ubunge Tarime mjini

    Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni. Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Manchare Suguta amechukua fomu kuomba CCM, kumpatia ridhaa ya kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini

    Wakili Mwandamizi wa Serikali na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bw. Manchare Suguta Heche, leo Jumanne Julai Mosi 2025, amechukua fomu ya kukiomba chama chake, Chama Cha Mapinduzi CCM, kumpatia ridhaa ya kuwania Ubunge kwenye Jimbo la Tarime Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba...
Back
Top Bottom