takukuru temeke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAKUKURU Temeke: Tumeamfikisha Askofu Mahakamani kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ardhi

    Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
  2. GE2025 Watia Nia Wawili wa ubunge matatani Kwa kutoa Rushwa Kwa wajumbe

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke, Holle Makungu, amesema kuwa katika kipindi cha Aprili hadi Juni mwaka huu, taasisi hiyo imewahoji na kuwaachia kwa dhamana watia nia wawili wa nafasi ya Ubunge katika Majimbo mawili tofauti kwa tuhuma za kushawishi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…