Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amesema si jambo la ajabu kwa majeshi kufahamu siasa za nchi wanazozilinda.
Akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, Aprili 23, 2025, Wasira alisema kuwa taasisi yoyote ya ulinzi inapaswa kuelewa...