Nguruwe ndiye mnyama pekee shambani ambaye hafanyi kazi; anakula bure, analala bure, Matibabu Bure, usafi bure na anaishi kwenye joto. Nguruwe akimtazama mfugaji na anafikiria 'Huyu binadamu ananipenda sana, yeye ndiye mungu wangu, ananipa kila kitu ninachohitaji.'
Lakini kile ambacho nguruwe...