sowah

Lennard Adjetey Sowah (born 23 August 1992) is a German professional footballer who plays as a left-back for TuS Dassendorf. He has previously played for Portsmouth, Hamburger SV II, FC Vestsjælland, Heart of Midlothian and Cracovia.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    Wachezaji Wa Simba Jonathan Sowah Na Allasane Kante Wafungiwa Mechi 5 Na Faini Ya Million 1 Kila Mmoja

    Mshambuliaji wa Simba Sports Club, Jonathan Sowah amefungiwa michezo 5 pamoja na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Alassane Kante pia amefungiwa michezo 5 na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Sowah na Alassane walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu dhidi ya Azam FC. Nae Kiungo Khalid Aucho...
  2. Waufukweni

    Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  3. Halidi Mtumbuka

    Sowah, usajili bora Ligi Kuu kwa vilabu vyote 16 kwenye dirisha hili!

    Namba huwa hazidanganyi. Jonathan Sowah ni mshambuliaji wa kati bora. Akiwa katika Ligi ya Ghana mwaka 2023, alicheza mechi 28 na kufunga mabao 16 na kutoa assisti moja (1). Nchini Ghana alikua akicheza katika klabu ya Medeama. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika alicheza mechi nane na kufunga mabao...
  4. GENTAMYCINE

    Simba SC hili la Mchezaji Jonathan Sowah kumpiga Ngumi ya Jicho Steven Mukwala huko Kambini Misri mliweke sawa na Sowah aonywe upesi sawa?

    Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
  5. M

    Sowah, anakipaji anapaswa kutunza kipaji chake kwa Nidhamu na siyo kuvunja heshima ya watu wengine

    Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji na kukipalilia, mtu yeyote anahitaji ajiheshimu na kuheshimu wengine hata kama ni kwa jambo...
  6. Labani og

    Sowah ametubu , aifolllow page ya Yanga Instagram

    Mshambuliaji wa Simba SC Jonathan Sowah ameifollow page ya Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram , Sowah amefollow kurasa 768 miongoni mwa hizo kurasa ni pamoja na Klabu ya Yanga Jonathan Sowah mara kadhaa amewahi kunukuliwa akisema Yanga ni nyumbani kwao na muda wowote atakuja kwenda...
Back
Top Bottom