Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza pamoja na baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Kata ya Itete, Busokelo Mkoani Mbeya huku akiwa amevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Juni, 2025 wakiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni...
Mwanasiasa machachari ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Sophia Mwakagenda amewatisha VIGOGO wa Siasa za Jimbo la Rungwe baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Jana!
Mh Sophia anaomba ridhaa hiyo kwa Chama Jimboni Rungwe huku akiwa na...
Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM.
Pia soma
Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza...
Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda amesema kuwa baada ya Rais Samia kulihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atajiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM) kama atapata ridhaa.
Soma zaidi: Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.