slaa arejea chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    GE2025 Slaa: CHADEMA haifanyi uchaguzi sio kwa ajali

    Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu haina uchu wa madaraka kama kama vyama vingine. Akizungumza kwa njia ya mtandao na Baraza la Kidigitali...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Slaa awaomba radhi CHADEMA Mkutanoni, ataja kilichomrudisha kundini, aapa kupambana kuiondoa CCM madarakani

    Dkt. Slaa awaomba radhi CHADEMA hadharani kwenye Mkutano Mbeya, ataja kilichomrudisha kundini, aapa kupambana kuiondoa CCM madarkani Soma Pia: Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

    Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
Back
Top Bottom