Nafikiri umeshasikia neno skanka hapa na pale. Nafahamu unaijua kuwa ni bangi na wengine wanadhani skanka ni aina ya madawa ya kulevya tofauti na bangi. Skanka au Skunk ni bangi, lakini kwanini iliitwa Skunk?
DISCLAIMER: Mada hii inaletwa kwa lengo la kutoa elimu tu na utambuzi. Napinga...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema wamefanikiwa kukamata Kilogramu 1066.105 za dawa za kulevya,mililita 447 za dawa tiba zenye asili ya kulevya, kuteketeza hekari 157.4 za mashamba ya bangi.
Akizungumza na wanahabari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.