single muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Last_Joker

    Kuwa ‘Single’ Muda Mrefu: Ni Uhuru au Tatizo la Kutoamini Mapenzi Tena?

    Unajikuta mwaka unaisha bado upo solo, hakuna bae wala boo, hakuna mtu wa kukutumia "umelalaje baby?" wala wa kukupa good morning texts zenye emoji ya jua na moyo... lakini wewe hujisikii vibaya. Au labda unajisikia, ila umezoea? Swali linakuja – je, kuwa single muda mrefu ni uhuru mtamu au ni...
Back
Top Bottom